Kuchasoni Kuchawangu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 620
- 370
...kesi ya madai haina athari ya moja kwa moja na ajira yako, labda kama mwajiri wako alihusika moja kwa moja kwenye hiyo kesi, na sheria za kazi hazimruhusu kukuachisha kazi kutokana na madai hayoWakuu salam
Naomba ufafanuzi wa sheria hasa kuhusu Kesi ya madai ambayo inamhusisha mtumishi wa umma baada ya kushindwa Kesi na kuamuriwa kulipa gharama na mahakama. Je anaweza akahatarisha ama kupoteza ajira yake pindi akishindwa kulipa gharama za kesi? ama kuna madhara gani anaweza yapata kutokana na kesi ya madai hususani ajira yake?
Karibuni kwa mawazo na ushauri wa kisheria.
Mtumishi wa umma unafanya biashara ya pesa kwa maana ya kukopesha kwa riba, ikatokea uliyemkopesha akashindwa kukulipa ukampeleka mahakamani ukamshinda na mahakama ikaamua kumfilisi, akafilisiwa lakini akakata rufaa high court akakushinda na mahakama ikaagiza ulipe gharama za kesi. Jamaa akaja na gharama kubwa kushinda kiasi ulichokuwa unamdai. Je ukishindwa kulipa nini madahara yake kwenye kibarua
Mkuu ndo hivyo tena sheria msumenomkuu samahani nimecheka sana kibao kilipogeuka ya dunia mengi ngoja waje wataalamu wafafanue
Hakuna madhara mkuu. Wewe dunda tu, mwajiri wako hahusiki kwa lolote kwa kuwa hiyo kesi haina uhusiano na ajira yakoMtumishi wa umma unafanya biashara ya pesa kwa maana ya kukopesha kwa riba, ikatokea uliyemkopesha akashindwa kukulipa ukampeleka mahakamani ukamshinda na mahakama ikaamua kumfilisi, akafilisiwa lakini akakata rufaa high court akakushinda na mahakama ikaagiza ulipe gharama za kesi. Jamaa akaja na gharama kubwa kushinda kiasi ulichokuwa unamdai. Je ukishindwa kulipa nini madahara yake kwenye kibarua
Hakuna madhara hata nikishindwa kulipa gharama za Kesi Mkuu?Hakuna madhara mkuu. Wewe dunda tu, mwajiri wako hahusiki kwa lolote kwa kuwa hiyo kesi haina uhusiano na ajira yako
Hakuna madhara. Ajira yako bado iko intact, kama una shida zaidi nifuate PM au ongea na Wakili wako aliekusimamia kesi yako akusaidieHakuna madhara hata nikishindwa kulipa gharama za Kesi Mkuu?
Kama Kuna uwezekano ningependa kujua hiyo rufaa huyo alishindajeMtumishi wa umma unafanya biashara ya pesa kwa maana ya kukopesha kwa riba, ikatokea uliyemkopesha akashindwa kukulipa ukampeleka mahakamani ukamshinda na mahakama ikaamua kumfilisi, akafilisiwa lakini akakata rufaa high court akakushinda na mahakama ikaagiza ulipe gharama za kesi. Jamaa akaja na gharama kubwa kushinda kiasi ulichokuwa unamdai. Je ukishindwa kulipa nini madahara yake kwenye kibarua
Hakuna namna ya kuepuka kufilisiwa Mkuu?Sema tu uko mbioni kufilisiwa ukishindwa kulipa gharama