Sheria inasemaje mfungwa anapofia jela?

Mfungwa akifia gerezani ndugu wanapewa mwili kwa kufuata taratibu husisha magereza, polisi na mkuu wa wilaya unakabidhiwa na kwenda kuzika!
 
Kwa kosa gani?😭😭😭 ukifia gerezani nani atauzika!?
fia popote gentleman, utazikwa na wafu wenzako watarajiwa,

utachukuliwa na kuhifadhiwa kwenye majokofu ya kuhifadhia maiti na kwa wakati muafaka utazikwa kwa heshma kama binadamu.

hakuna habari kama za wahdzabe kwamba ukifa wanakuacha hapo hapo ulipofia wao wanahama kabisa eneo hilo.πŸ’
 
Mfungwa akifia gerezani ndugu wanapewa mwili kwa kufuata taratibu husisha magereza, polisi na mkuu wa wilaya unakabidhiwa na kwenda kuzika!
labda useme hizo sheria zimebadilishwa miaka ya hivi karibuni..walifanyaga hivyo kuzuia wale wenye mapesa kufake kifo ili kutoka gerezani kijanja maana pesa ingetembea kwa wahusika wote wanaodhinisha au kuthibitisha kifo..ndo wakaweka sheria hiyo mfungwa akifa azikwe huo huko magereza ili kuepusha michongo kama hiyo..labda kwa sasahivi sheria zimelegezwa kidogo
 
Mimi ni professional mortuary attendant.. (Retired)
 
kuna marehem jiran. alkua kifungon, alifia kule mageleza.
ndugu walipewa taarifa wakafata mwili wake.
 
Samahani kwani mtu anapokuwa depo JKT au JWT akifa Sheria pia Huwa inasemaje
 
Tazama sheri ya Magereza hapa Kifungu namba 34 kinaruhusu mwili kuchukuliwa ila ufanyiwe taratibu za uchunguzi na Daktari

34. Disposal of bodies of deceased prisoners​

(1)When a prisoner dies either in prison or in hospital the officer-in-charge shall take all reasonable steps to inform the relatives of the deceased prisoner of the death and, after the medical examination of the body by the medical officer, a relative shall be allowed to collect the body for burial in accordance with the rites of the religious denomination to which the prisoner belonged.(2)If a deceased prisoner has no relatives, or if a relative of the deceased prisoner does not collect the body within a reasonable time, the body shall be disposed of in such manner as the Commissioner may determine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…