kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mfungwa akifia gerezani ndugu wanapewa mwili kwa kufuata taratibu husisha magereza, polisi na mkuu wa wilaya unakabidhiwa na kwenda kuzika!hiyo ndugu kupewa mwili ni kwa mahabusu tu lakini kwa mfungwa hampewi mwili ila ndugu wawili wa mfungwa watakuwepo kushuhudia mwili wake na kuhudhuria mazishi kama ushahidi pia kuwakilisha familia..lakini kisheria anazikwa na magereza wakitumia wafungwa ambao ni waislam au wakristo kwani masheikh na walokole wapo wengi magerezani watazika chini ya usimamizi wa askari