Raundi hii ya lala salama hakuna point za bure bure, pambana kiwanjani!
He, kumbe kanuni inatekelezeka kulingana na raundi🙂!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raundi hii ya lala salama hakuna point za bure bure, pambana kiwanjani!
Yaani huyo mfadhili wenu anayetaka kuwanunua ni bonge la 'poyoyo' kweli kweli, yaani anasubiri adi zimebakia mechi 6 ndiyo anatoa mamilioni ya 'kulainisha' na 'kusafisha' njia ambayo kwa kiasi kikubwa yameishia mifukoni mwa watoto wa mujini akina kaburu na mgosi.He, kumbe kanuni inatekelezeka kulingana na raundi🙂!!
Tena mwaka 2013/2014 legia walzwa kutok poland ilifuzu champion league..but ilipokwa nafasi yao na uefa bodi kwa kitendo cha kumchezesha mchezaji mwenye kadi mbili za njanoKwa ilichofanya tff ni sawa na kuzipa kazi klabu pinzani kuweka rekodi ya kadi za wapinzani wao wakati hiyo si kazi yao.
Ligi iliyopita Azam alinyang'anywa pointi kwa kosa hilo ikiwa imepita miezzi mitatu tena bila klabu waliyocheza nayo kulalamika. Je, hii sio double standards!?
Yaani huyo mfadhili wenu anayetaka kuwanunua ni bonge la 'poyoyo' kweli kweli, yaani anasubiri adi zimebakia mechi 6 ndiyo anatoa mamilioni ya 'kulainisha' na 'kusafisha' njia ambayo kwa kiasi kikubwa yameishia mifukoni mwa watoto wa mujini akina kaburu na mgosi.
Kwenye kutoa point tatu kwa timu shindwa ni mawazo ya kijima, hata kama sheria inasema hivyo ni bora kuiacha.
Hapa cha msingi ni kuinyang'anya timu yenye makosa na kumuadhibu mchezaji husika lakini sio kuipa timu shindwa point tatu NO! Maana walikimbizana uwanjani wakashindwa.
Tena mwaka 2013/2014 legia walzwa kutok poland ilifuzu champion league..but ilipokwa nafasi yao na uefa bodi kwa kitendo cha kumchezesha mchezaji mwenye kadi mbili za njano
Hapa ndio soka la bongo lilipofikia ukomo
Malinz alianza kukataza mashabiki wa simba wasiitwe 4G baada ya matokeo ya mabaya ya Algeria...sasa kaamua kuwatuliza kwa kuwapa point zao...je azam msimu uliopita walifanyiwa nini??
Naona huu ndio mwisho wa Jamal Malinzi...
Club ya poland..walituma maombi mengi kwenda Uefa..kuomba kukubaliwa..but kitendo cha kuchezesha mchezaji mwenye kadi mbili za njano.kilo wa disqualify kushiriki uefa..akapewa nafasi hiyo celtic
The same applied kwa simba walihitaji kupewa point 3 kwa mchezaji kagera kucheza ilhari akiwa na kadi mbili za manjano
Kwa waliostaaribika, huwa ni fine kali sana kwa team husika (ikibidi na mchezaji mwenyewe) lakini matokeo ya uwanjani yanabaki kama yalivyo. Kwa kupinga walichofanya wale wahuni wa ''kamati ya masaa 72'' TFF huenda wakawa wamepatia hapa japo bado hawajailima fine Kagera kama ikithibitika kweli yule mchezaji alikuwa ana kadi 3 za Njano
Mna timu ya ubingwa nyie? bc tu tff wanawalealea mngeshashuka daraja!Lengo la TFF ni simba asiwe bingwa for any means
Timu yenu ipii? Isije kuwa malinzi f.cJINSI YA KUICHANGIA KLABU YETU.
[emoji830] VODACOM M-PESA.
1.Piga *150*00#
2.Chagua 4 - Lipa kwa M- Pesa.
3. Chagua 4- Ingiza namba (123123)
4. Weka Kumbukumbu Namba (150334)
5. Weka Kiasi.
6. weka namba ya siri.
7. Utapata ujumbe wa uthibitisho.
[emoji830] TIGO PESA.
1. Piga *150*01#
2. Chagua namba 6 (Huduma za kifedha)
3. Chagua namba 5 (Selcom Pay).
4. Ingiza namba ya Malipo (150334).
5. Weka kiasi.
6. Ingiza namba ya siri.
7. Utapata Ujumbe wa uthibitisho wa muamala.
[emoji830] AIRTEL MONEY.
1. piga *150*60#
2. Chagua namba 5( Fanya Malipo)
3.Chagua namba 2 ( Uchaguzi wa biashara)
4.Chagua namba 3 (Manunuzi)
5. Chagua namba 3 (Selcom)
6. Weka kiasi.
7.Ingiza namba ya malipo (150334)
8.Weka namba ya siri.
9. Utapata Ujumbe wa uthibitisho wa muamala.
UKIFANYA HIVO UTAKUWA UMEICHANGIA KLABU YAKO, HONGERA SANA MWANANCHI! PIA ITAKUWA VEMA UKITUONESHA UJUMBE WAKO HAPA WA MALIPO. . PIA WAHAMASISHE NA WENGINE KUCHANGIA.
mjibuni bwana acheni, kushangilia upuuzi! sheria ameuliza jibu... kama hujui sema sijui!Kaandamane
Tatizo ni Bodi ya Ligi kushindwa kutekeleza majukumu yao. Ni kweli kila timu ina wajibu wa kuchunga takwimu zake. Lakini mwenye wajibu wa kutunza takwimu za Ligi nzima na kuratibu Matumizi yake ni Kamati ya Ligi. Yenyewe ndiyo inapaswa kuwazindua vilabu kwenye kila kikao kinachotangulia pambano (pre-match meeting) kila mchezaji anapokuwa anaziwilika kucheza mechi hiyo kwa sababu ya kutumikia adhabu itokanayo na kuoneshwa kadi. Kwamba mechi haikutangazwa mubashara si sababu ya Kamati hiyo kutoweka kumbukumbu hiyo au kutotekeleza wajibu huo. Kuna njia nyingi, sahihi na rahisi za wasimamizi wa mechi kuwasilisha takwimu za mechi husika kwenye sekriterieti ya Makao Makuu inayoweka na kuratibu kumbukumbu hizo. Kadhalika njia hizohizo zingepaswa kutumika kuwafikishia takwimu hizo wasimamizi wa mechi husika kwa matumizi ya kabla ya mechi. Kama hilo linashinda, lipi litawezekana?Kuna mantiki kidogo kwenye hoja yako kwa si vema kupata pointi za mezani, lkn unatakiwa kutoa remedy kwa timu pinzani kwa sababu haikushindwa kihalali. Ili ushindwe kihalali lazima uwe na wachezaji halali.
Kwa mujibu wa fair play, kama hujashindwa kihalali ni sawa na kuwa hujashindwa!!. Lazima Tifutifu wakune kichwa zaidi kutafuta njia bora zaidi
Naona umepanic, Calm down and take a chill pillsmjibuni bwana acheni, kushangilia upuuzi! sheria ameuliza jibu... kama hujui sema sijui!
Hivi Simba angekua na point za kutosha kuchukua ubingwa nini kingemzuia? Wacheze mpira point ziko uwanjani, hili la kusubiria points mezani tena baada ya kufungwa ni aibu kwa timu kama Simba. Wajipange kwa msimu ujao, timu iwe bora, watachukua tu.