Sheria inasemaje wadau ikitokea Rais Samia akahama chama akaenda Upinzani? Je, atahama na urais wake au urais unaisha?

Jitahidi hata kuwaza kesho utakula nini kuliko kuwaza mambo ambayo hayawezi kutokea.
Mkuu usimbeze; Nchi hii lolote linaweza kutokea, ebu liangalie hili la hawa COVID 19 walivyo ingia Bungeni. Hadi leo hakuna ajuae wameingiaje pamoja na vyombo vyote vikuu vitatu (dola, mahakama na bunge) kukinzana juu ya uwepo wao.
 
Maswali ya Kijinga, Raisi akihama anaondoka na irani ya chama alichochaguliwa kwacho au inabaki?

Ukipata jibu umeelewa.
 
Mkuu usimbeze; Nchi hii lolote linaweza kutokea, ebu liangalie hili la hawa COVID 19 walivyo ingia Bungeni. Hadi leo hakuna ajuae wameingiaje pamoja na vyombo vyote vikuu vitatu (dola, mahakama na bunge) kukinzana juu ya uwepo wao.
Muwe mnasoma katiba ili msisumbue watu na maswali ya kipumbavu. Hicho anachouliza jibu lake lipo kwenye katiba.
 
Mkuu, naona ufahamu wako ni mdogo sana, na nina shaka na elumu yako, ndio maana unakimbilia kwenye kutukana. JF ni yenye watu waelewa na wastaalabu, sio wote tuna tumikia buku 7, haya majina ya kujificha ficha yasikufanye uwe mjinga.
 
Elumu, wastaalabu. Kajifunze kwanza kuandika.
 
Mi sijui sana sheria ila naomba kuelimishw akuhusu hilo mana politics is thw game of all possible
Swali lako ni zuri sana maana linaonesha wewe ni maamuma wa Katiba. Ungekuwa umeisoma, wala usingetuuliza humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…