Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Sasa utamlinganisha na jpm ambaye aliharibu uchumi wa nchi hii. Huoni samia anavyofufua sector binafsi iliyouawa na jpm.
Kipindi cha jpm sector binafsi ilikuwa inapumulia mashine wafanyakazi wanafukuzwa ovyoovyo ili kupungiza gharama. Sasa hivi wale waliofukuzwa kwa mahotrli na mabank kugungwa wamerudi kazini.
Kwa nini samia asionekane ni lulu. Maskini tu wa fikra na wazembe wa utafutaji ndo wanamchukia samia