Sheria inasemaje: Washeria watusaidie

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
1,152
Reaction score
343
Nimekuwa nkiangalia hili tukio la wema kuvamia ofisi za Global publishers, na chamsingi labda watu wa sheria wanisaidie sheria inasemaje kama umeandikwa na chombo cha habari na hujaridhika na habari husika, hata kama ni katika magazeti ya udaku.

 
Last edited by a moderator:
Mimi hapo nadhani Wema hakutumia busara hata kidogo. Alichopaswa kukifanya, kama anaona ameonewa, alipaswa kuwashitaki hao Global....
Sheria za kulinda utu zipo...
 
Kama Global Publishers wanaweza kuthibitisha kuwa

(a) Kama MAWE (WEMA) aliingia ofisini kwao bila ruhusa hapa kosa la kuingia kwa jinai linaweza kumuhusu
(b) MAWE mara baada ya kuingia kwa jinai, kama alisababisha uvunjifu wa amani, ukosefu wa utulivu, ufuraihaji wa uhuru binafsi basi kosa la sheria za madhara zinaweza kumuhusu
(d) Kama MAWE kabla ya kuingia, mara baada ya kuingia na wakati wa kutoka alitumia lugha ya kejeli, matusi, fedheha basi kesi ya jina na madai zitamuhusu

To spice it up;
Jinsi alivyo nyoa upara kama mama wa Kimasai kapendeza saana kuuza sura kwenye viunga vya Mahakama zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…