Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Wengi hatufahamu sheria inayotumika katika kuilinda bendera ya taifa na kuiheshimu.
Wakati wa ushushwaji wa bendera watu hutakiwa kusimama lakini pia wengi hawafahamu kuhusu hilo wala sababu ya uwepo wake.
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni kweli mtu anatakiwa kusimama wakati wa ushushaji na upandishaji wa bendera ya taifa?
Adhabu gani hutolewa kwa atakae kaidi zoezi hili?
Je, sheria inaruhusu polisi, Jeshi ama security yoyote kumpa mtu adhabu baada ya kutembea wakati wa ushushwaji au upandishaji wa bendera ya taifa?
Tujuzane ili nasi tuwajuze wengine.