mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Haaya mkuu.Wao wakidharau kwa kufunga barabara huyo mtu sijui ndiye nani apite nami nitadharau kwa kupita.
Nikipigwa kwa kutosimama sababu ya bendera nami natajibu mashambulizi.
Maandiko ya 'Geouniorld' yanasema:
- Akupigae konzi mjibu kwa ngumi.
- Akurushiae mawe mmiminie risasi.
- Akupae pipi mbariki kwa nanasi.