Uliwahi kusikilizwa kwa hiyo hoja ya mashahidi wa Yehova?Pole nadhani ni wewe, Ungewaeleza kuwa wewe ni muamini wa dhehebu la mashahidi wa Jehovah wangekuelewa.
Wao hawaheshimu wimbo wa taifa wala bendera bali Mungu pekee.
Nini wanafanya ili kutoonyesha tofauti na sisi wengine, wanaepuka kuonyesha dharau kwenye vitu vinavyoheshimika nasi kama kumtukuza Rais kama mungu, kusimama wakati wimbo wa taifa ukichezwa na hata bendera wanakaa mbali navyo kidogo.
Nadhani hao ni maPC/ wader au maCOPLO wachache wasio naweledi na kazi yao unahaki ya kutoa malalamiko yako kwa kiongozi wao
Kisheria anaweza kupata msaada kwa sababu katiba yetu inatambua haki ya kuabudu. Mimi hayo matatizo hayawezi kunipataUliwahi kusikilizwa kwa hiyo hoja ya mashahidi wa Yehova?
Wakati huo katiba itakuwa haitambui tunu za taifa siyo?Kisheria anaweza kupata msaada kwa sababu katiba yetu inatambua haki ya kuabudu. Mimi hayo matatizo hayawezi kunipata
Wala haisaidii kitu. Ila shukuru umekunja ngumi kwa kushikwa na polisi.Mtaani kwetu kuna kituo cha polisi tena barabarani kabisa hadi mjengo wao umepigwa X na TANROAD. Upo senta sehemu ambayo watu wanamove freely and openly. Kuna kipindi watu hawajasikia filimbi since someone walking down street minding his/her own business. Au Matatizo ya Masikio na hawa jamaa wakishakuona wanakudaka ile paapa Kunja ngumi kwenye kokoto sehemu ambayo kila mtu anakuona na maneno machafu kibao. Hapa hawaangalii upoje,tena kama umeuchomekea ndio kabisa watakudhalalisha hadi uumbuke. Swali la kwanza ww umesoma?
Juzi rafiki yangu alidakwa yaani yy hakuisikia filimbi ya kwanza maana alikuwa anatembea tokea mbali (filimbi inaimbwa yy yupo mbali) sasa ile ya kutembea yy anasimama. Aisee alishambuliwa kama nyuki na mzinga vile.
Hapa nkakumbuka why wanafanya hivi?
Siku ukisimamishwa road kwamba kuna rais anapita, wewe pitiliza na gari, ukiulizwa sema simtambui.Sitambui Bendera, Wimbo wa Taifa, Rais and co.
Sivijui, Sitambui na Sihitaji kufahamu.
Tunahitajika Kuheshimu mawazo ya mtu.Siku ukisimamishwa road kwamba kuna rais anapita, wewe pitiliza na gari, ukiulizwa sema simtambui.
Utataja mpaka uzao wake wa tano nyuma[emoji1787][emoji1787].
Kama unaishia kuandika tu, ni wazi hata wewe unatakiwa kuheshimiwa mawazo yako, ila ukifanya kwa vitendo, umewadharau nao watakudharau.Tunahitajika Kuheshimu mawazo ya mtu.
Mimi siwatambui kwa sababu moja wao wamechangamana na siasa na katika Imani yangu 'Geouniorld' siwezi kuruhusu hilo siwatambui, sivitambui na sivijui waheshimu mawazo yangu Pia.
Wao wakidharau kwa kufunga barabara huyo mtu sijui ndiye nani apite nami nitadharau kwa kupita.Kama unaishia kuandika tu, ni wazi hata wewe unatakiwa kuheshimiwa mawazo yako, ila ukifanya kwa vitendo, umewadharau nao watakudharau.