Haaya mkuu.Wao wakidharau kwa kufunga barabara huyo mtu sijui ndiye nani apite nami nitadharau kwa kupita.
Nikipigwa kwa kutosimama sababu ya bendera nami natajibu mashambulizi.
Maandiko ya 'Geouniorld' yanasema:
- Akupigae konzi mjibu kwa ngumi.
- Akurushiae mawe mmiminie risasi.
- Akupae pipi mbariki kwa nanasi.
Siku ukipita maeneo hayo utavitambua vyote!Sitambui Bendera, Wimbo wa Taifa, Rais and co.
Sivijui, Sitambui na Sihitaji kufahamu.
Napita sana lakini sijawahi kuvitambua.Siku ukipita maeneo hayo utavitambua vyote!
Shukuru Mungu mkuu!Napita sana lakini sijawahi kuvitambua.
Hakika maana ata yeye anaona ni jinsi gani nasimama kumuamini yeye pekee.Shukuru Mungu mkuu!
Hi, Jane 😘Mpigwe mpate akili
Watu Kama Nyinyi Ni Wazuri Sana Tena Sana,, Ukiingia Kwenye 18 za Wazee wa Ngwasuma Lazima Ufurahi Ata kama Ulikuwa Ujala Mwaka Mzma We Endelea Hivyohivyo One Day Utakuja Kuuelewa Mzikii.Sitambui Bendera, Wimbo wa Taifa, Rais and co.
Sivijui, Sitambui na Sihitaji kufahamu.
Dunia ilikuwa salama endapo tungeheshimu kila mtu na mawazo yake.Watu Kama Nyinyi Ni Wazuri Sana Tena Sana,, Ukiingia Kwenye 18 za Wazee wa Ngwasuma Lazima Ufurahi Ata kama Ulikuwa Ujala Mwaka Mzma We Endelea Hivyohivyo One Day Utakuja Kuuelewa Mzikii.
[emoji16][emoji16][emoji16] aahahaha etehe tehe ... haya mkuu.Wao wakidharau kwa kufunga barabara huyo mtu sijui ndiye nani apite nami nitadharau kwa kupita.
Nikipigwa kwa kutosimama sababu ya bendera nami natajibu mashambulizi.
Maandiko ya 'Geouniorld' yanasema:
- Akupigae konzi mjibu kwa ngumi.
- Akurushiae mawe mmiminie risasi.
- Akupae pipi mbariki kwa nanasi.
Hayo Mawazo Yako Ni Butu Nenda Kaishi Sayari Nyingine Siyo Hii Dunia.Dunia ilikuwa salama endapo tungeheshimu kila mtu na mawazo yake.
Mbona mimi ndiye naona mawazo yako ni butu?Hayo Mawazo Yako Ni Butu Nenda Kaishi Sayari Nyingine Siyo Hii Dunia.
Hamna shida kibisa.Ngoja niende kituo cha Polisi Leo saa12 halafu wakiishusha niendelee na mambo yangu,nitaleta mrejesho....
Uzalendo ndio mdudu gani..!? Punda kama wewe ndio unafaa kwa mabwana wako waliokufundisha hiyo DiniKuna baadhi ya punda hawezi kutembea bila bakora, kuna baadhi ya nyangau uzalendo kwao ni mpaka wafundishwe kwa pushapu