Sheria inayolinda bendera ya taifa, adhabu za papo kwa papo bila ya Mahakama

Simama ndani ya mita mia huu ni utaratibu ila ukikahidi si unawajua hawa wenzetu adhabu zao usitegemee mahakamani hapo
 
Habari za jioni wana JF.

Kuna utaratibu ambao umejengeka kwa miaka mingi kwa watu kusimama/kuinuka wakati bendera ya taifa inapokuwa inashushwa au kupandishwa kwenye mlingoti wake. Na hata kama watu walikuwa kwenye shughuli zao jirani na inaposhushwa bendera ya taifa, shughuli hizo husimama mara moja, kupisha bendera kushushwa au kupandishwa.

Je, kuna sheria yoyote inayomtaka mwananchi kusimama au kuinuka wakati bendera ya taifa inapandishwa au kushushwa? Na je, mtu asiposimama au kuinuka bandera ya taifa inapopandishwa au inaposhushwa anaweza kuchukuliwa hatua zozote za kisheria?
 
We endelea kuishi kinadharia ila kamwe usijae jaribu ku practice. Utarudi kusimulia humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…