Olympic ys mwaka huu ilikuwa na michezo zaidi ya 30.
Hadi kutembea ulikuwepo
Niliwahi kutembea kwa miguu toka Kibamba mpaka Masaki studio za Master Jay kurekodi single yangu,ilikuwa mwanzoni mwa miaja ya 2000,
Leo hii kuna wakina mama kila jumapili wanatembea kwa miguu toka mbagala au gongo la mboto kwenda Kawe kwa mwamposa kuombewa,go and return on foot.
HUko kijijini kwetu Kizuranimba nawafahamu watu wanaenda mpaka Burundi kwa miguu,
Tunafeli wap kama Raifai?Wakenya wanarucheka sana huko nitandaini na kwenye Luninga sheria zibadilishwe kuwe na washiriki binafsi bila kupitia kamati ya Olympic ya Bwana Philbert Bayi,hajui kusort
Serikali iwekeze sana kwenye masumbwi tutafika mbali.
Ukiangalia vijana kama kina Mwakinyo wako poa sana japo hali za gym zao si nzuri, serikali ikiwekeza kwenye ndondi tutafika mbali, mpira umetukataa sio suala la pesa.
Hata US wana uchumi lakini wmejifahamu mpira si wao, wamewaachia Europe.
Umeona style na spidi ya kutembea kwenye Olympic ? Ile speed ni Kali hata mtu wa jogging unaweza usitoboe....Watanzania wanadhani ni kitu rahisi kushiriki Olympic...ingekuwa rahisi basi watu wengi Toka pande zote duniani wangeenda...naenda kasome qualifications za huko mchezo wa kutembea and how to get qualifications
Umeona style na spidi ya kutembea kwenye Olympic ? Ile speed ni Kali hata mtu wa jogging unaweza usitoboe....Watanzania wanadhani ni kitu rahisi kushiriki Olympic...ingekuwa rahisi basi watu wengi Toka pande zote duniani wangeenda...naenda kasome qualifications za huko mchezo wa kutembea and how to get qualifications
Serikali iwekeze sana kwenye masumbwi tutafika mbali.
Ukiangalia vijana kama kina Mwakinyo wako poa sana japo hali za gym zao si nzuri, serikali ikiwekeza kwenye ndondi tutafika mbali, mpira umetukataa sio suala la pesa.
Hata US wana uchumi lakini wmejifahamu mpira si wao, wamewaachia Europe.
Olympic ys mwaka huu ilikuwa na michezo zaidi ya 30.
Hadi kutembea ulikuwepo
Niliwahi kutembea kwa miguu toka Kibamba mpaka Masaki studio za Master Jay kurekodi single yangu,ilikuwa mwanzoni mwa miaja ya 2000,
Leo hii kuna wakina mama kila jumapili wanatembea kwa miguu toka mbagala au gongo la mboto kwenda Kawe kwa mwamposa kuombewa,go and return on foot.
HUko kijijini kwetu Kizuranimba nawafahamu watu wanaenda mpaka Burundi kwa miguu,
Tunafeli wap kama Raifai?Wakenya wanarucheka sana huko nitandaini na kwenye Luninga sheria zibadilishwe kuwe na washiriki binafsi bila kupitia kamati ya Olympic ya Bwana Philbert Bayi,hajui kusort View attachment 3072484 View attachment 3072484
Umeona style na spidi ya kutembea kwenye Olympic ? Ile speed ni Kali hata mtu wa jogging unaweza usitoboe....Watanzania wanadhani ni kitu rahisi kushiriki Olympic...ingekuwa rahisi basi watu wengi Toka pande zote duniani wangeenda...naenda kasome qualifications za huko mchezo wa kutembea and how to get qualifications
Hahahahaha hawawezi , halafu ile nguvu siku hz haipo, nakumbuka enzi hizo nilikua naeza kwenda coco Beach au sleepway na kurudi home kubadili nguo na kuenda tena kwa miguu kuruka disco ,Home nakatisha msasani ile