swala nikugonga. Kwenye sheria za jinai kinachotazamwa ni wakati uliotenda kosa kama sheria ilikuwepo nakueeleza kuwa ulichofanya nikosa.
swala la wewe kupelekwa mahakamani wakati uliemgonga kapona nisawa, kwasababu wewe unashitakiwa kwakugonga. Eidha ugonge mtu aumia au laa lakini umegonga