Sheria juu ya ajali barabarani (Traffic Cases)

Sheria juu ya ajali barabarani (Traffic Cases)

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
13,416
Reaction score
12,618
JFs, naomba mwongozo juu ya kesi ya kugonga mtu barabarani (sio kwenye zebra). Na kesi inaenda mahakamani huku mgonjwa ameshapona kabisa.

Mwongozo tafadhali.
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]
Yamenikuta natafuta msaada jf
Kumbe naomba jamvi msibani
 
JFs, naomba mwongozo juu ya kesi ya kugonga mtu barabarani (sio kwenye zebra). Na kesi inaenda mahakamani huku mgonjwa ameshapona kabisa.

Mwongozo tafadhali.
swala nikugonga. Kwenye sheria za jinai kinachotazamwa ni wakati uliotenda kosa kama sheria ilikuwepo nakueeleza kuwa ulichofanya nikosa.

swala la wewe kupelekwa mahakamani wakati uliemgonga kapona nisawa, kwasababu wewe unashitakiwa kwakugonga. Eidha ugonge mtu aumia au laa lakini umegonga
 
Back
Top Bottom