kufanya ngono ni makubaliano kati ya watu wawili km amebakwa au kulawitiwa ni sawa sheria itachukua mkondo wake.
Mfano. Umekutana na mwanamke kweny dala dala, amekutega. Na ww umejilengesha ukatoa namba. Mwisho wa siku mkakutana guest house mkafanya ngono. Kumbe huyo mwansmke ni muathiruka halafu ww hukutumia condom hv unafikiri kuna kesi hapo?
Kwa wanafunzi ni sawa sbb kuna kesi inayowalinda na wale walioko chini ya miaka 18 lkn kuanzia hapo hakuna kesi jomba.
Km ukishindwa tumia condom, km unataka uwe muathirika ni juu yako