Sheria kuu 5 kwa mwanaume

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life

1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo

2: Usije uka msamehe mwanamke msaliti, hii nitairudia kwa herufi kubwa USOJE UKAMSAMEHE MWANAMKE MSALITI,

3: Kama una watoto usiache kupima DNA ,ni muhimu mnooo,

4: Usije ukaoa single mother , awe baba mtoto yupo hai au amekufa, ova

5: Ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde achana naye na usije ukaomba tena tafuta mwingine

Hizi ni nguzo tano kama zile nguzo nyingine hakikisha unazifuata kama unayapenda maisha Yako,

Nyongeza ni kuwa epuka wanawake wanye itikadi za kifeminist,
 
Usije oa mwanamke mwenye HIV/AIDS. Utakunywa dose miaka yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…