Sheria kuu 5 kwa mwanaume

Sheria kuu 5 kwa mwanaume

Wanaume watakufa wamechokaa sana, sio kwa mateso haya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life

1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo

2: Usije uka msamehe mwanamke msaliti, hii nitairudia kwa herufi kubwa USOJE UKAMSAMEHE MWANAMKE MSALITI,

3: Kama una watoto usiache kupima DNA ,ni muhimu mnooo,

4: Usije ukaoa single mother , awe baba mtoto yupo hai au amekufa, ova

5: Ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde achana naye na usije ukaomba tena tafuta mwingine

Hizi ni nguzo tano kama zile nguzo nyingine hakikisha unazifuata kama unayapenda maisha Yako,

Nyongeza ni kuwa epuka wanawake wanye itikadi za kifeminist,
Namba tano hipo sahihi kabisa na mimi nakazia "ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde 🤣 kimbia na usije muomba tena.
 
Mwanamke mzuri ni yule mwenye akili ya maisha/mtafutaji hata ukimpa msingi ana uwezo wa kuizalisha hiyo hela. Au awe na nidhamu ya hali ya juu katika kutunza pesa, hata ukipata hela na kumpa yy anaitunza na mara nyingi type hizi za familia,mkiweka malengo ya kusema mwaka huu mnajenga basi lazima tu mtajenga.

Tatizo kupata aina hii ya wanawake kwa siku hizi ni kazi mnooo,wengi hela mbele pili hawana nidhamu ya fedha au unaweza kumpata mwenye nidhamu ya kitunza fedha ila hela unayompa atunze anawapelekea familia ya ukoo wake.
 
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo
Mwanaume anaejitambua hawezi kuwa na sheria hii.

Ukiwa unataka kuingia kwenye ndoa lazima ujue mahitaji muhimu ya mke ni yako hivyo tafuta wa kuendana nae na atakaeridhika na kipato chako.

Muhimu: Kazi ni yake na pesa ni yake, tekeleza majukumu yako.
 
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life

1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo

2: Usije uka msamehe mwanamke msaliti, hii nitairudia kwa herufi kubwa USOJE UKAMSAMEHE MWANAMKE MSALITI,

3: Kama una watoto usiache kupima DNA ,ni muhimu mnooo,

4: Usije ukaoa single mother , awe baba mtoto yupo hai au amekufa, ova

5: Ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde achana naye na usije ukaomba tena tafuta mwingine

Hizi ni nguzo tano kama zile nguzo nyingine hakikisha unazifuata kama unayapenda maisha Yako,

Nyongeza ni kuwa epuka wanawake wanye itikadi za kifeminist,
Shule unafungua lini?
 
Back
Top Bottom