Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nasimama na 2 na 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
6.Usioe mwanamke anayeamini na kuwa na hofu na sangomaUkuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo
2: Usije uka msamehe mwanamke msaliti, hii nitairudia kwa herufi kubwa USOJE UKAMSAMEHE MWANAMKE MSALITI,
3: Kama una watoto usiache kupima DNA ,ni muhimu mnooo,
4: Usije ukaoa single mother , awe baba mtoto yupo hai au amekufa, ova
5: Ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde achana naye na usije ukaomba tena tafuta mwingine
Hizi ni nguzo tano kama zile nguzo nyingine hakikisha unazifuata kama unayapenda maisha Yako,
Nyongeza ni kuwa epuka wanawake wanye itikadi za kifeminist,
Wangekuwa wanajua hayo wangeacha tamaa za dunia na kuwaeshimu waume zao,Hakika mola awarehemu. Sisi sote ni wake na kwake tutarejea
Bin adamu woote wako sawa mbele ya allah, yeye ndiye molah wetu mlezi
em acha zako allah ni nan?, binadamu acheni ujinga, dini zenu za kukaririshana alafu kila mmoja anamwona mwenzie kapotea na yeye yuko right ndio nin?, hamnaga hoja kwasababu hamtumij akili kupima mambo kwa usomaji wa vitabu vya pande mbili, mmewaachia viongozi wawatafsirie na kuwaelekeza.Aliye kinyume na allah na mtume wake mohammad, huyo ni kafir, naye atachomwa moto siku ya kiama. Asalaam aleykum
Hosea 4:6 imeandikwa “Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa;”. Mitume 4:13 imeandikwa "mshike sana elimu, usiache aende zake"Ilimu akhera utakwenda nayo pepon, ilim dunia utaiacha duniani.
Hiyo namba nne nakazia!Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo
2: Usije uka msamehe mwanamke msaliti, hii nitairudia kwa herufi kubwa USOJE UKAMSAMEHE MWANAMKE MSALITI,
3: Kama una watoto usiache kupima DNA ,ni muhimu mnooo,
4: Usije ukaoa single mother , awe baba mtoto yupo hai au amekufa, ova
5: Ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde achana naye na usije ukaomba tena tafuta mwingine
Hizi ni nguzo tano kama zile nguzo nyingine hakikisha unazifuata kama unayapenda maisha Yako,
Nyongeza ni kuwa epuka wanawake wanye itikadi za kifeminist,
Mkuu pm. Naona kimya kiongozi checkSafi sana
Umejibiwa na Faizafoxy wa alibaba mkuu.Bibi 😘
Ww si umenibania wale wageni wako waarabu wa Dubai?? Bibi ninunulie juba basi
Sure thing code noted!!!Ishi kwa akili wewe, usijizuie kwa sheria uchwara.
Tunakwambia ishi kitaalamu, kaa kwa code, usikalili maisha.
😂😂😂 tunajuana na bibi yangu wa kikuuUmejibiwa na Faizafoxy wa alibaba mkuu.
Anachofanya sio sahihi.Huyo ni fala mmoja tu.
Nawadhangaabsana moderators na wasimamizi wa JF kuuruhusu huo upuuzi.
Cc: Moderator
Takbilk ya nyokoTakbiiiiir
Umepiga cha Malawi wewe!Hakika bikra yangu imetolewa kwa ndoa. Naa hapa nilipo nimebakiwa na bikra 1 tu, hiyo ni kharamu kuitoa
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana, alafu hayanaga muongozo sweetheart...
SawaUkuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo
2: Usije uka msamehe mwanamke msaliti, hii nitairudia kwa herufi kubwa USOJE UKAMSAMEHE MWANAMKE MSALITI,
3: Kama una watoto usiache kupima DNA ,ni muhimu mnooo,
4: Usije ukaoa single mother , awe baba mtoto yupo hai au amekufa, ova
5: Ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde achana naye na usije ukaomba tena tafuta mwingine
Hizi ni nguzo tano kama zile nguzo nyingine hakikisha unazifuata kama unayapenda maisha Yako,
Nyongeza ni kuwa epuka wanawake wanye itikadi za kifeminist,
Bi kizee kayaleta