Sheria kuu 5 kwa mwanaume

Sheria kuu 5 kwa mwanaume

Kuna wanaume wameoa wanawake wanawazidi vipato lkn ndani hata chumvi ikiisha mwanaume unaambiwa chumvi imeishaa
 
Kutoa upwiru bila ndoa, ni kufru kwa allah..mollah ametu ruzuku kwa sunna ya wake wa 4, hao wote bila shaka wakutosha kuiona pepo ilio kat ya miguu yao, kwa mahabba matakatifu ndani ya ndoa takatifu.
wameharibu ndoa zao wenyewe, single mother siyo wa kuwaonea huruma kabisa, ni wachache sana wenye majonzi ya kweli lakini wengi ni umalaya tu unawasumbua!
 
Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo
Dogo acha uvivu tafuta hela usitegemee hela ya mwanamke hata siku moja., mpaka hapo umeshafeli.
 
wameharibu ndoa zao wenyewe, single mother siyo wa kuwaonea huruma kabisa, ni wachache sana wenye majonzi ya kweli lakini wengi ni umalaya tu unawasumbua!
Hakika mola awarehemu. Sisi sote ni wake na kwake tutarejea
 
Kwahiyo majobless tuolewe na nani?? Acha kufundisha wenzio tabia mbaya mfyuuu 😂😂😂😂
 
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life

1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo

2: Usije uka msamehe mwanamke msaliti, hii nitairudia kwa herufi kubwa USOJE UKAMSAMEHE MWANAMKE MSALITI,

3: Kama una watoto usiache kupima DNA ,ni muhimu mnooo,

4: Usije ukaoa single mother , awe baba mtoto yupo hai au amekufa, ova

5: Ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde achana naye na usije ukaomba tena tafuta mwingine

Hizi ni nguzo tano kama zile nguzo nyingine hakikisha unazifuata kama unayapenda maisha Yako,

Nyongeza ni kuwa epuka wanawake wanye itikadi za kifeminist,
Ukiondoa ya Kwanza nyingine zote ni kweli na Kweli kabisa
 
wameharibu ndoa zao wenyewe, single mother siyo wa kuwaonea huruma kabisa, ni wachache sana wenye majonzi ya kweli lakini wengi ni umalaya tu unawasumbua!
Ingawa kune wengine ni bahati Mbaya lakini wengi ni kutokana na Tabia zao
 
Kwahiyo majobless tuolewe na nani?? Acha kufundisha wenzio tabia mbaya mfyuuu 😂😂😂😂
Mwenyeez mungu atakupa wa kufanana na wewe, jitunze mwil wako kwa juba na nikabu, upate stara ya ndoa, soma quran upate mwangaza
 
Unafikiri maisha ya kanuni basi!!!

Ni kama umeenda disco umekuta beat na hujui kucheza ,we ruka ruka TU utaendana nalo hilo beat!!

Kuna single mother hawawapendi hao ex zao waliowazalisha mkuu huwezi amini!

Kuna Dem unaweza muomba umuoe akakataa ukikaza anakubali kumbe alitaka kujua how serious you are!!!

Kuna ambao hawana kazi wala kipato kumbe hawana kianzio ukimuoa ukamfungulia mtaji utashangaa analeta utajiri kwa home!!

AFTER ALL MWANAMKE MZURI AMETAJWA KWENYE MITHALI 31 NENDA KASOME MKUU,SHERIA NA KANUNI ZA WALIMWENGU ZITAKUUMBUA KUNA ANOMALOUS CHARACTER KWA HAWA MAMMALS!
 
Ingawa kune wengine ni bahati Mbaya lakini wengi ni kutokana na Tabia zao
kabisa wee limwanamke lina watoto zaidi ya watatu miaka 45 ndiyo kwanza linajifanya msichana wa miaka 20 kisa linatafuta kuridhishwa ni ujinga mtupu, ndoa nyingi wanaume wana mateso sana!
 
Mwenyeez mungu atakupa wa kufanana na wewe, jitunze mwil wako kwa juba na nikabu, upate stara ya ndoa, soma quran upate mwangaza
Bibi 😘
Ww si umenibania wale wageni wako waarabu wa Dubai?? Bibi ninunulie juba basi
 
Io namba mbili iwekewe flem kisha ipandikwe kwny kla taasisi hosptal kanisan misikitin vtuo vya mabasi na kla pahali. Nna historia nayo nikiwasmulia hapa mtabak midomo waz
 
Hi yote ilisababishwa na makafiri wa magharibi. Hakika hakuna kafiri atakayeiona firdaus. Na hawatapata ile rakha aliyowaandalia waume kwa kuwaruzuku mabikra 72 akhera
Aliyewaletea dini akasahau kuwapa elimu aliwakosea sana
 
Back
Top Bottom