Sheria kuwa applied retrospective

Sheria kuwa applied retrospective

Wdl

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
186
Reaction score
177
Hivi kuna sehemu yoyote kwenye katiba inakataza sheria zilizopo na zitakazotungwa kurudi nyuma i. e kuwa applied retrospective instead of prospective application
 
Hivi kuna sehemu yoyote kwenye katiba inakataza sheria zilizopo na zitakazotungwa kurudi nyuma i. e kuwa applied retrospective instead of prospective application
Mkuu, Tafuta mda, tulia halafu pitia katiba hiyo ibara kwa ibara, itakusaidia zaidi kuliko kutegemea jibu moja
 
Back
Top Bottom