Sheria kwa hili vipi

Sheria kwa hili vipi

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Wakubwa mimi nauliza hivi TAKUKURU wana mamlaka kisheria kuchunguza NGO yoyote tanzania iliyopewa fedha na wafadhili wa nje kuhusu tuhuma za mambo ya rushwa nk bila kuombwa na wafadhili au kwa NGO yenyewe.

na wakichunguza inakuwa ni kwa maslahi ya nani?,hata wakibaini labda wamebaini jambo watawapekeka labda Mkurugenzxi wa NGO kumshtaki kwa kosa lipi?
 
.....Kifungu cha 7 na 15 vya Sheria ya kuzuia na kupambana na Rushwa namba 11, 2007 inajibu maswali yako, etc. soma attachment
 

Attachments

Back
Top Bottom