Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Wakubwa mimi nauliza hivi TAKUKURU wana mamlaka kisheria kuchunguza NGO yoyote tanzania iliyopewa fedha na wafadhili wa nje kuhusu tuhuma za mambo ya rushwa nk bila kuombwa na wafadhili au kwa NGO yenyewe.
na wakichunguza inakuwa ni kwa maslahi ya nani?,hata wakibaini labda wamebaini jambo watawapekeka labda Mkurugenzxi wa NGO kumshtaki kwa kosa lipi?
na wakichunguza inakuwa ni kwa maslahi ya nani?,hata wakibaini labda wamebaini jambo watawapekeka labda Mkurugenzxi wa NGO kumshtaki kwa kosa lipi?