Sheria mpya EPL msimu wa 2019/2020 hizi hapa.

Sheria mpya EPL msimu wa 2019/2020 hizi hapa.

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu Habari zenu ? Naona kuna marekibisho ya sheria Za uwanjani msimu wa 2019/2020 kwenye epl.hizo hapo chini.

IMG_5837.JPG


IMG_5838.JPG


IMG_5839.JPG


IMG_5840.JPG


IMG_5841.JPG


IMG_5842.JPG


IMG_5843.JPG


IMG_5844.JPG


IMG_5845.JPG
 
Sawa, substitutes wamekuwa wakipoteza mno muda.
 
namuona pep akila card nyingi msimu huu
 
Tutafasilien sasa na sisi mabashite maana mimi hapo nimetoka bashite bashite tu sijaelewa kitu
 
Mabadiliko haya sio kwa epl pekee, yameanza julai mosi na ndio maana tunayaona hata AFCON Misri.
 
FIFA's new rules. Walizitoa mwaka jana ili zitumike season mpya mwaka huu.
 
SIJAONA VAR kama itatumika ingawa hapo wamesema ikiwa mtu atafunga goli akashangilia kwa kuvua jezi yake atakula kadi ya njano hata kama lile goli litakataliwa na VAR
 
Back
Top Bottom