Sheria mpya ya penati kikwazo kwa makipa

Sheria mpya ya penati kikwazo kwa makipa

KENGE 01

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
1,705
Reaction score
4,217
Anaandika KENGE,

Mamlaka ya kutunga sheria za mpira wa miguu IFAB imetunga sheria mpya baada ya maboresho na malalamiko kwa wachezaji kwa baadhi magoli kipa kuwavuruga kisaikolojia kabla ya kupiga mkwaju.

Ikumbukwe GK wa A.Villa na Argentina(Martinez) amekuwa na mbinu ya kuwavuruga wachezaji kisaikolojia kwa matendo yake kama vile kuwatisha, kwenda kushikashika mpira, kushika nyavu n.k.

Martinez aliwahi kuwavuruga Manchester united baada ya kupata mkwaju kwenye malumbano alimfata Ronaldo akamwambia "Nataka uje upige wewe mkwaju" CR7 alikataa na kumwachia Bruno apige na akakosa pia. Martinez aliwavuruga kisaikolojia France kwenye hatua za matuta Kombe la dunia, vilevile aliwavuruga brazil kwenye Copa America na wengine wengi.

IFAB imefanyia maboresho sheria hii kama ifuatavyo:

~ Kipa haruhusiwi kushika nyavu au post kabla ya penalty kupigwa.
~ Kipa haruhusi kuvuka msitari wa (crossbar line) kabla ya kupigwa penalty.
~ Kipa haruhusiwi kumpanikisha au kumuongelesha mpiga penalt kabla ya penalty.
~ Kipa akae katikati ya goli na kumtazama mpiga penalt.

Je, sheria hii sio kikwazo/kifungo kwa Magoli Kipa?

CC KENGE 01

Nawasilisha.

Pia soma>>

GettyImages-451742770.jpg
 
Anaandika KENGE,

Mamlaka ya kutunga sheria za mpira wa miguu IFAB imetunga sheria mpya baada ya maboresho na malalamiko kwa wachezaji kwa baadhi magoli kipa kuwavuruga kisaikolojia kabla ya kupiga mkwaju..

Ikumbukwe GK wa A.Villa na Argentina(Martinez) amekua na mbinu ya kuwavuruga wachezaji kisaikolojia kwa matendo yake kama vile kuwatisha. Kwenda kushikashika mpira,Kushika nyavu n.k.

Martinez aliwahi kuwavuruga Manchester united baada ya kupata mkwaju kwenye malumbano alimfata Ronaldo akamwambia "Nataka uje upige wewe mkwaju" CR7 alikataa na kumwachia Bruno apige na akakosa pia Martinez aliwavuruga kisaikolojia France kwenye hatua za matuta Kombe la dunia,Vilevile aliwavuruga italy kwenye Copa America na wengine wengi..

IFAB imefanyia maboresho sheria hii kama ifuatavyo:

~Kipa haruhusiwi kushika nyavu au post kabla ya penalty kupigwa
~ Kipa haruhusi kuvuka msitari wa (crossbar line) kabla ya kupigwa penalty
~Kipa haruhusiwi kumpanikisha au kumuongelesha mpiga penalt kabla ya penalty
~Kipa akae katikati ya goli na kumtazama mpiga penalt.

JE SHERIA HII SIO KIKWAZO/KIFUNGO KWA MAGOLI KIPA?

CC KENGE 01

NAWASILISHA


View attachment 2567027
Nimesoma yote na kuielewa ila hapo "aliwavuruga Italy kwenye Copa America" ndo sijaelewa.
 
Back
Top Bottom