Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 738
- 273
Kuna mchakato umeanza wa kutunga sheria mpya ya reli/au kuhuisha iliyopo ili "kuendana na wakati"....
Kwa kiasi kukubwa huenda lengo la sheria hii ni kuwezesha "wawekezaji" kujinufaisha na SGR.
Je, kama taifa, tuko tayari kwa sasa kuruhusu watu binafsi kumiliki treni ambazo zitatumia reli ya umma? Hii ndiyo PPP? Haya yote yana uhusiano na "kuchelewa" kukamilika kwa kipande cha Dar-Moro au kuletwa kwa mabehewa na kuanza kwa huduma katika kipande hicho?