Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 738
- 273
Hivi kwa akili yako nani anaweza kuinunu ATCL hata waitangaze leo wanaiuza hakuna shirika lolote la ndege linaweza kuinunua huo ndio ukweli ndugu yangu hawana assets yoyote kubwa zaidi ya KUKODI ndege za serikali.Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi chini ya Prof. Mbarawa sijui kama kweli inamsaidia Rais zaidi naona kama inatumika kumchonganisha, kweli SGR ibinafsishwe?, ATCL nayo ibinafsishwe? kwanini Taasisi zilizo chini ya Waziri Mbarawa ndio zinataka kubinfishwa ni kwa manufaa ya nani? Mh Rais wafuatilie sana hawa kina Mbarawa wanaweza kutuletea matatizo makubwa
Kama Reli wanakwambia wanabadilisha sheria ili iruhusu mwekezaji... watashindwaje kwenye Ndege?Hivi kwa akili yako nani anaweza kuinunu ATCL hata waitangaze leo wanaiuza hakuna shirika lolote la ndege linaweza kuinunua huo ndio ukweli ndugu yangu hawana assets yoyote kubwa zaidi ya KUKODI ndege za serikali.
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Bila PPP imara hatuendi popote. Reli, ndege, masoko, kilimo, hospitali, mashule, mawasiliano, etc PPP ni muhimu. Mfano mzuri wa PPP ni katika secta ya mawasiliano ya simu. Kama sio secta binafsi kuingia hapa na kuongoza, tusingekuwa na mawasiliano imara ya simu. Mambo ya maendeleo yanatakiwa yaendeshwe kibiashara na sio kisiasa.Kuna mchakato umeanza wa kutunga sheria mpya ya reli/au kuhuisha iliyopo ili "kuendana na wakati"....
Kwa kiasi kukubwa huenda lengo la sheria hii ni kuwezesha "wawekezaji" kujinufaisha na SGR.
Je, kama taifa, tuko tayari kwa sasa kuruhusu watu binafsi kumiliki treni ambazo zitatumia reli ya umma? Hii ndiyo PPP? Haya yote yana uhusiano na "kuchelewa" kukamilika kwa kipande cha Dar-Moro au kuletwa kwa mabehewa na kuanza kwa huduma katika kipande hicho?
Unapoteza muda wako bure kumshauri mpumbavuWizara ya Ujenzi na Uchukuzi chini ya Prof. Mbarawa sijui kama kweli inamsaidia Rais zaidi naona kama inatumika kumchonganisha, kweli SGR ibinafsishwe?, ATCL nayo ibinafsishwe? kwanini Taasisi zilizo chini ya Waziri Mbarawa ndio zinataka kubinfishwa ni kwa manufaa ya nani? Mh Rais wafuatilie sana hawa kina Mbarawa wanaweza kutuletea matatizo makubwa
History inaonyesha hakuna faida yoyote iliwahi kupatikana kwenye sector yoyote ile ileye kuwa chini ya serikali iliweza kuendesha bishara kwa faida toka kwa NYERERE .....rejea mashirika ya UMMA yalianzishalwa yalifika wapi na hii ndio ukweli utabaki hivyo iliyo baki ni SIASA tu hata wao Viongozi wanajua nikitu hakiwezekani iliyo baki kupoteza hela wananua MANDEGE yasiyo kuwa na faida yoyote ni mzigo kwa SERIKALI tu .Kama Reli wanakwambia wanabadilisha sheria ili iruhusu mwekezaji... watashindwaje kwenye Ndege?