Next Monday utaona uchumi wa Tanzania .Sasa Hivi hizi sanction zitamaliza africaWabongo bana! Mmarekani akitamka kwamba huyu mbaya basi na wabongo nao wanaaminishwa ni mbaya! Kwani Putin ashawahi kufanya kibaya kipi kwa mwafrika au mbongo hadi aitwe Hitler? Ni Hitler kwa Marekani na Ukraine si kwa kila mtu.
Tatizo walikula visivyolika. Ona sasa Putin anachowafanyia na wala hawawezi mfanya chochote maana naye analo tunda la mema na mabaya.....NUCLEAR!!! ......!Haha! Mkuu unajua unajiingiza kwenye ugomvi usioujua!!
Ugomvi wa Mungu na shetani ulianzia huko juu wakauleta huku kwa viumbe anavyovipenda..😂
Hakukuwa na kosa kwa Adam na Eva kula tunda kwani hawakuumbwa kuwa perfect!. Go deep.
Ndiyo..Kwani wakirusha habari za ukweli watafungwa?
Sasa unawezaje kuandika kuwa majeshi ya urusi yako kule yanalinda raia tu wa doneksi, wasibughuziwe na majeshi ya ukraine kwa hicho tunacho kiona?!!Kwani wakirusha habari za ukweli watafungwa? Kama wanasitisha Basi wanatuaminisha kuwa huwa wanaripoti fake news. Ndio maana tulikua tunaambiwa wanajeshi kadhaa wa Urusi wamekufa kumbe propaganda
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app