Sheria na taratibu za kazi ya ualimu

Sheria na taratibu za kazi ya ualimu

Fedora

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
238
Reaction score
172
Wana JF naomba kufahamu idadi ya vipindi kwa wiki ambavyo mwalimu wa secondary o'level anapaswa kufundisha kisheria, maana hawa ma-headmaster wanataka kuwapelekesha sana walimu.
 
Asante ndugu ENC je unaweza faham habari hizo zinapatikana kwenye muongozo upi?
 
Walimu wa sekondari ni majanga, tutamlaumu Kawambwa mpaka basi! Ukishajua unataka kufanyaje!
 
Nnavyojua idadi ya vpindi inategemeana na somo husika, ila somo lenye vipindi vingi kwa wiki ni Math.
Zaidi ya hapo pata standing order.
 
kwanza inategemea na idadi ya walimv katika shule,idadi ya vipindi,na idadi ya mikondo.. namaanisha kama kutakuwa na walmu weng wa somo flani bas vipind lazma vipungue kwa mwl husika
 
kwanza inategemea na idadi ya walimv katika shule,idadi ya vipindi,na idadi ya mikondo.. namaanisha kama kutakuwa na walmu weng wa somo flani bas vipind lazma vipungue kwa mwl husika

Pamoja na hivyo lazima kutakua na muongozo unaosema wastani wa vipindi kwa mwalimu.
 
Na maths ina vpndi vingapi kwa wiki?

Vipindi 6 kwa kila darasa hivyo kama ni form 1-4 inajumla ya vipindi 24 kwa wiki na kwa kila mkondo. Chanzo math syllabus 2010
 
Nnavyojua idadi ya vpindi inategemeana na somo husika, ila somo lenye vipindi vingi kwa wiki ni Math.
Zaidi ya hapo pata standing order.

Hizo standing order zinapatikana wapi
 
sio kweli vipindi vya math ni 8 na English ni 7 na masomo mengine yoote ni vi3 tu kwa wiki tz nzima sio zaidi ya hapo

Someni syllabus zenu mwanzoni hapo kuna maelezo, INSTRUCTIONAL TIME
 
Pamoja na hivyo lazima kutakua na muongozo unaosema wastani wa vipindi kwa mwalimu.

muongozo unasema ni vipindi vusivyozidi 28 na visiwe chini ya 8 kwa wiki
 
vipindi ni 24 minimum kwa wik,.na 30 maxmum kwa wk. zaidi ya hapo unalipwa pesa nje ya salary
 
Back
Top Bottom