Hiyo ni kampuniYaani mtu mmoja aipe taasisi thank u kweli,au ni vice versa
Hapa suala la kimaslahi linaweza kuhusika.Mbunifu wa mavazi Sheria Ngowi, aliyebuni jezi za Yanga kwa misimu minne mfululizo ameipa mkono wa Bye Bye Klabu hiyo hivyo kumaanisha Uzi wa Yangu 2025/26 hazitabuniwa na mbunifu huyo.
View attachment 3396669
Kweli najiuliza alikuwa anafanya bure?Yaani mtu mmoja aipe taasisi thank u kweli,au ni vice versa
Mbona Fei aliwapa Thank you mkapanicYaani mtu mmoja aipe taasisi thank u kweli,au ni vice versa