Sheria Ngowi azidi kung'aa Ikulu ya Zambia

Sheria Ngowi azidi kung'aa Ikulu ya Zambia

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,710
Reaction score
3,681
ImageUploadedByJamiiForums1436082963.983831.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1436083028.669970.jpg

Nimeona tena mavazi ya Rais wa Zambia wakati wa chakula cha usiku alichomuandalia mgeni wake Uhuru Kenyatta(Rais wa Kenya) ktk mitandao mbalimbali.


ImageUploadedByJamiiForums1436083089.373339.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1436083135.010547.jpg


Ni ubunifu wa mtanzania Sharia Ngowi ktk mavazi anayovaa Rais wa Zambia,hii ni fahari kwa mtanzania mwenzetu Ngowi kwa kuchanja mbuga kimataifa mpaka Ikulu ya Zambia...Hongera sana kijana!!ila punguza tabia yako ya kuwa "Ant-Social"...usiwapotezee sana masela...maana wanalalamika sana.Kaza buti kijana..tupo pamoja
 
Safi sana,,hayuko anti social yuko serious tu
 
Ukiendekeza watu watakushusha, bora ufanye yako tu.
 
Hongera zake naona anamvalisha rais wa Zambia kisharobaro zaidi
 
Wabongo hamkosagi jungu, 'ant social': unataka aje alale na mkeo.
 
Mi nataka anidizainie chupi yenye kitasa, sh. ngapi?
 
Back
Top Bottom