Sheria taaluma inayodharaulika sana Tanzania lakini marais 27 kati ya 43 wa marekani waliwahi kuwa wanasheria

Sheria taaluma inayodharaulika sana Tanzania lakini marais 27 kati ya 43 wa marekani waliwahi kuwa wanasheria

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana.

Mwanasheria anaonekana kama dalali tu.

Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria.

Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria.

Taifa lenye uchumi mkubwa na maendeleo limekubali mara 27 kuongozwa na wanasheria.

Naamini hata sisi tukiacha kuwadharau wanasheria tutapiga hatua flani.
 
Wanasheria hawadharauliki, shida ni wanasheria makanjanja kuvamia fani kama ilivyo kwenye fani ya habari.
 
Tatizo la watu wanaopta visomo bongo wanageuka kuwa matapeli waliovaa suti.

Hakuna watu matapeli na kauSha damu kama wanasheria wa bongo
 
Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana.

Mwanasheria anaonekana kama dalali tu.

Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria.

Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria.

Taifa lenye uchumi mkubwa na maendeleo limekubali mara 27 kuongozwa na wanasheria.

Naamini hata sisi tukiacha kuwadharau wanasheria tutapiga hatua flani.

Keywords
"......Maraisi wa marekani......."
 
Huku kwetu Wanasheria wengi wanapenda sifa na kuonekana ni wasomi! Ila mchango kwa Taifa lao ni 0! Mikataba mingi ya kilaghai wameingia na Mabeberu kutoka nje, na hivyo kuirudisha nchi yetu nyuma kimaendeleo!
 
Back
Top Bottom