VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Wahadhiri wa kike wa Sheria-UDSM ni wachache sana. Wanabanwa na GPA(kwakuwa inatakiwa 3.8 na zaidi). Tangu mwaka 2007,hakuna Mhadhiri hata mmoja wa kike aliyeajiriwa.Hakuwa pia hata mwanafunzi mmoja wa kike aliyefika wastani wa 3.8 tangu mwaka huo.
Hadi sasa,UDSM upande wa Sheria ina Wahadhiri wanapita 60.Lakini kati yao,wanawake ni wafuatao tu: 1. Dr.T. Ackson-ambaye ni Naibu Mkuu wa Kitivo 2. Dr. Asha-Rose Migiro 3. Dr. Mwaipopo 4. Miss Asina Omari 5. Miss Lucy Eusebio 6. Miss Massabo.Basi. Waliobaki wote ni wa kiume.
Wanawake vipi jamani? GPA hii ni kubwa? Fungukeni....
Mkuu utaratibu bado ni huohuo.Wote wanaopata 3.8 huitwa kwa ajili ya Uhadhiri.Ni formality tu kuita na kumsikiliza.Hakuna aliyewahi kuachwa. Tatizo kwa miaka mingi sasa hakuna mwanamke aliyefika 3.8 na kuendelea...Sijui utaratibu wa sasa, lakini zamani ukiwa na GPA inayotosha unabaki pale kuwa TA. nasikia sasa mtindo huo hakuna hata kama umepata GPA ya 5.0 mpaka uombe ukubaliwe/ukataliwe. Zamani ilikuwa ni sheria kubalki pale ukiwa na stipulated GPA. Si ajabu wanapata lakini wanakataliwa, ukiweka na rushwa, rushwa ya ngono etc!!!
Ndio (Associate Dean kwa kimombo)...Tulia ni NAIBU MKUU WA KITIVO?
Mkuu utaratibu bado ni huohuo.Wote wanaopata 3.8 huitwa kwa ajili ya Uhadhiri.Ni formality tu kuita na kumsikiliza.Hakuna aliyewahi kuachwa. Tatizo kwa miaka mingi sasa hakuna mwanamke aliyefika 3.8 na kuendelea...
Mkuu utaratibu bado ni huohuo.Wote wanaopata 3.8 huitwa kwa ajili ya Uhadhiri.Ni formality tu kuita na kumsikiliza.Hakuna aliyewahi kuachwa. Tatizo kwa miaka mingi sasa hakuna mwanamke aliyefika 3.8 na kuendelea...
Nasisitiza: hakuna aliyeomba akiwa na 3.8 ya UDSM halafu akakosa. Ni utaratibu tu huo wa kuita na kuchuja. Kimsingi,huchujwa wa Vyuo vingine tu. Issue ni kuwa kwa miaka mingi hakuna mwanamke aliyepata 3.8 na kuendelea ya UDSM...Sio hivyo...sasa hivi mpaka uombe, watakuambia unastahili kubakia lakini wanakuambia wanaangalia budget waliyopewa kuajiri waalimu wapya...zamani walikuwa wanaruhusiwa kuajiri moja kwa moja...lakini sasa hivi sivyo hadi tume ya utumishi ...nina evidence lakini siwezi kukupa humu!
Sijui utaratibu wa sasa, lakini zamani ukiwa na GPA inayotosha unabaki pale kuwa TA. nasikia sasa mtindo huo hakuna hata kama umepata GPA ya 5.0 mpaka uombe ukubaliwe/ukataliwe. Zamani ilikuwa ni sheria kubalki pale ukiwa na stipulated GPA. Si ajabu wanapata lakini wanakataliwa, ukiweka na rushwa, rushwa ya ngono etc!!!
tuangalie hata bidii huko vyuoni wanasoma kwa bidii?