VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Wahadhiri wa kike wa Sheria-UDSM ni wachache sana. Wanabanwa na GPA(kwakuwa inatakiwa 3.8 na zaidi). Tangu mwaka 2007,hakuna Mhadhiri hata mmoja wa kike aliyeajiriwa.Hakuwa pia hata mwanafunzi mmoja wa kike aliyefika wastani wa 3.8 tangu mwaka huo.
Hadi sasa,UDSM upande wa Sheria ina Wahadhiri wanapita 60.Lakini kati yao,wanawake ni wafuatao tu: 1. Dr.T. Ackson-ambaye ni Naibu Mkuu wa Kitivo 2. Dr. Asha-Rose Migiro 3. Dr. Mwaipopo 4. Miss Asina Omari 5. Miss Lucy Eusebio 6. Miss Massabo.Basi. Waliobaki wote ni wa kiume.
Wanawake vipi jamani? GPA hii ni kubwa? Fungukeni....