Sheria ya fedha inasemaje juu ya kiwango cha fedha tasilimu ambacho mtu anaweza kutembea nacho?

John Kombo

Member
Joined
May 15, 2013
Posts
31
Reaction score
16
Wadau wa JF na wanasheria, ningependa kufahamishwa hili;

Sheria ya fedha inasemaje juu ya kiwango cha fedha tasilimu ambacho mtu anaweza kutembea nacho?

Mfano: Fedha za Dodoma (alizokamatwa nazo hotelini yule Mfanyakazi wa Quality Centre)
 
Zamani ilikuwa laki 5 sijui kama hii sheria ilishabadilishwa
 
Mbona naonaga watu wanatembea hata na m10..........kuna hawa jamaa zangu wana rubega hapa.........hata m60 hawakosi hawa.........
 
Ndo hapo sasa.vitu vingine vinataka ushauri tu na si kufosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…