Msimbe.Maggy
Member
- Feb 17, 2013
- 12
- 2
Move industry inakua haraka sana Tanzania na kati ya waajiriwa ni watoto(umri chini ya miaka 18).Sheria ya ajira kwa watoto under these circumstances inasemaje?is it legal?na inelezea mipaka ya vitu vya kufanya au kuonyesha kulingana na umri wao?