Sheria ya kijeshi aliyoweka Rais Putin kwenye majimbo yaliyonyakuliwa kutoka Ukraine

Mpango wa maneno wakati vitendo ni sifuri,pambaneni kwanza kuirudisha Kherson,kila siku inakombolewa mnaishia kuhamisha raia.
Hujuwi uwezo wa intelligence and how you can apply during a war.
Kama ungemsikiliza mkuu wa usalama wa Urusi na kile Putin ana kumbana nacho ndio utakuwa intelligence ni muhimu ktk usalama wa Taifa.
 
Putin keshakuwa Masanja Mkandamizaji tu.Unaweka sheria eneo ambalo wanajeshi wako wanakimbia kama siyo Ze Comedy hiyo [emoji3]
Sio tu Hilo ila alisema mtu akigusa hayo maeneo atashusha mabom ya Nuclear kama umemsikiliza mkuu wa NATO anasema Russian is black mailing us. Akimanisha mrusi amechoka sana hata wanajeshi hawana ham ya Vita kwasababu hawaelewi Putin anaitakia nn ardhi ya jirani zake while ana ardhi kubwa sana na haja tumia. Ukisema Putin ana tatizo la akili sidhani kama nakosea.
 
Hapo kwenye tatizo la akili upo sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom