OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ila Kwa ulimwengu wa wafuasi wa mudi inawezekana????Hiyo sheria ingetakiwa kuongezewa masharti kuwa ukikutwa na MKE au Mume WA MTU kifungo cha miaka 30.
Lakini hilo haliwezekaniki katika Ulimwengu wa kikafiri
Ila Kwa ulimwengu wa wafuasi wa mudi inawezekana????
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Kwa muktadha huo ndio maana ikawa ni madai kuliko kuwa ni jinai!!kwani ingekuwa ni kuoneana tu,Na hata hiyo kesi kwenye madai huko kuidhibitishia mahakama ili mtu atiwe hatiani ni ngumu mno!!kuna mambo mengi sana huangaliwa.Sheria ya Ugoni inaeleza ukidakwa na mke au mume wa mtu ni kosa la madai na unaweza kulipishwa fidia kulingana na mahakama itakavyoona...
Inabidi ufanye utafiti wa kutsha kuhakikisha uko within the law, siyo kuambiwa. Kuna case law ya hivyo. nikiipata nitakuwekeaSasa najiuliza umepata mwanamke katika mazingira ambayo hujui au hajakueleza au ameficha utambulisho wa ndoa. Wewe kosa lako ni lipi?
Tunaomba utuwekee mtaalamuInabidi ufanye utafiti wa kutsha kuhakikisha uko within the law, siyo kuambiwa. Kuna case law ya hivyo. nikiipata nitakuwekea
I am not a mtaalamu. wewe uliyeweka mada one would expect you to make research on the saId case law and come with answersTunaomba utuwekee mtaalamu
Unaua unafungwa jela halafu unamuacha mkeo uraiani analiwaNikibahatika kukufuma kuna adhabu mbili tu nje ya ile ya mahakama 1. Ni kifo 2. Malinda au vyote kwa pamoja hii sitanii wala simutishi mtu
Sheria inasema hivyo lakini hukumu inategemea mambo mengi. Ukiweza kuiridhisha mahakama bila shaka kuwa yule mke wa mtu alikulaghai na hukujua kabisa kuwa ni mke wa mtu na ulifanya juhudi zote kujihakikishia basi unaweza kupona.Sheria ya Ugoni inaeleza ukidakwa na mke au mume wa mtu ni kosa la madai na unaweza kulipishwa fidia kulingana na mahakama itakavyoona.
Sasa najiuliza umepata mwanamke katika mazingira ambayo hujui au hajakueleza au ameficha utambulisho wa ndoa. Wewe kosa lako ni lipi?
Mwanamke ametongozwa, akauliza kama jamaa ameona, jamaa akakana mke wake wa ndoa. Kosa la mwanamke hapo liko wapi? Au angeanza kuulizia mitaani kwanza jamaa ana ndoa?
Hii sheria ina makosa, irekebishwe iangalie mazingira ya mtu kutokuwa na taarifa ya hali ya ndoa