sheria ya kuping matumizi ya mifuko ya plastiki

Mohammed Khatibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
1,170
Reaction score
1,617
Wakulu!

naomba kuwasilisha attachament ya sheria iliyopitishwa kuhusiana na kupigwa marufuku kwa matumizi na uzalishaji wa mifuko ya plastick.

naomba tuisome kwa udadavuzi zaidi kwa sababu humo ndan kuna adhabu na exemptions kwa baadhi ya taasisi kuruhusiwa kutumia plastick products.
View attachment GN 394.pdf
 
Mbona haifunguki au kwakuwa natumia huawei
 
Aa ha ha ha inafunguka tumia google chrome kama unayo. Ila ikigoma na hapo kanunue tecno mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…