Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,170
- 1,617
Wakulu!
naomba kuwasilisha attachament ya sheria iliyopitishwa kuhusiana na kupigwa marufuku kwa matumizi na uzalishaji wa mifuko ya plastick.
naomba tuisome kwa udadavuzi zaidi kwa sababu humo ndan kuna adhabu na exemptions kwa baadhi ya taasisi kuruhusiwa kutumia plastick products.
View attachment GN 394.pdf