K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 948 Reaction score 1,627 Aug 1, 2024 #1 Katika kikao cha Bunge kilichomalizika hivi karibuni walitunga sheria ya kuruhusu National Food Reserve Agency (NFRA) kuagiza sukari toka nje ya nchi. Je sheria hiyo imekwishasainiwa na Mhe. Rais?.
Katika kikao cha Bunge kilichomalizika hivi karibuni walitunga sheria ya kuruhusu National Food Reserve Agency (NFRA) kuagiza sukari toka nje ya nchi. Je sheria hiyo imekwishasainiwa na Mhe. Rais?.