Sheria ya kusajiri na kuchezesha wachezaji wa kigeni 10 imekaaje?

Wanechukua mara moja. Zambia mara ngapi? Ligi ya epl itafananishwa na ya Zambia?
Cha muhimu ni kutambua kwamba kwa nini wenzetu wanaweza export wachezani wao ambao sie ndio tunawatumia kwenye ligi yetu but sie wetu hawaendi huko nje?
 
Cha muhimu ni kutambua kwamba kwa nini wenzetu wanaweza export wachezani wao ambao sie ndio tunawatumia kwenye ligi yetu but sie wetu hawaendi huko nje?
Swali zuri, wazawa wajitahidi ili nao wahitajike huko nje.
 
Mara moja 1966. Nusu fainali kibao za Euro na kombe la dunia
Compare that to brazil ambao ligi yao haina foreigners wengi ila wao ndio wana export wachezaji nje ya nchi.
 
Msuva na Samatta waneisaidia sana timu ya Taifa kuliko wachezaji wa ndani. Hivyo Tz itaheshimisgwa zaidi na wachezaji wa nje.
 
Wachezaji wa ndani wanasubiri nini nao kutoka nje? Wangekuwa wanajielewa akina Ajibu Migomba tusungefikia kusema hivi.

إنهم فاقدون للوعي تمامًا
 
Hii sheria nayo sio mbaya ikabakia hapo japo tuwe makini sana na kuendekeza vitu kama hivi

Tusishangae tukapandekeza wachezaji wa Dodoma Jiji wawe wagogo na warangi tu
 
Wachezaji wenyewe
Mugalu
Kagere
Banda
Wawa

Bora washushe waruhusiwe mwisho kusajili wachezaji 10 ila wanaoruhusiwa kucheza ni 7

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao uliowataja hawajawai kua na manufaa kwenye club wanayochezea au umezaliwa sasa hivi?.Simba iliyoshiriki michuano ya kimataifa misim michache nyuma ilitokana namchango mkubwa wa wachezaji wakigenivwakiwepo hao uliowataja kwa kejeli.Ata yanga sasa hivi imefanya bizuri kwenye ligi kwasababu ya ushindani mkubwa ulionyeshwa na wachezaji wakigeni.Tunachotakiwa kudanya ni kuambia wachezaji wetu wazawa wakuze viwango vyao ili nawao wakatafute fursa uko nchi za watu badala yakukaa nakuchukua wengine wanaokuja kutafuta fursa kwetu.
 
Wachezaji wa kigeni wanaopaswa kusajiliwa ni 12 (kumi na wawili), katika michezo ya Ligi kuu NBC PL wachezaji wa kigeni wanao ruhusiwa kuhusika katika mchezo 1(mmoja) ni wachezaji 8 (wanane) tu.

Nimejitahidi kwa uelewa wangu.
ndivyo ilivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…