Cha muhimu ni kutambua kwamba kwa nini wenzetu wanaweza export wachezani wao ambao sie ndio tunawatumia kwenye ligi yetu but sie wetu hawaendi huko nje?Wanechukua mara moja. Zambia mara ngapi? Ligi ya epl itafananishwa na ya Zambia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha muhimu ni kutambua kwamba kwa nini wenzetu wanaweza export wachezani wao ambao sie ndio tunawatumia kwenye ligi yetu but sie wetu hawaendi huko nje?Wanechukua mara moja. Zambia mara ngapi? Ligi ya epl itafananishwa na ya Zambia?
Swali zuri, wazawa wajitahidi ili nao wahitajike huko nje.Cha muhimu ni kutambua kwamba kwa nini wenzetu wanaweza export wachezani wao ambao sie ndio tunawatumia kwenye ligi yetu but sie wetu hawaendi huko nje?
Mara moja 1966. Nusu fainali kibao za Euro na kombe la duniaHao england kombe la dunia wamechukua mara ngapi?
Ndio tuwaandae jitihada bila maarifa hufiki kokoteSwali zuri, wazawa wajitahidi ili nao wahitajike huko nje.
Compare that to brazil ambao ligi yao haina foreigners wengi ila wao ndio wana export wachezaji nje ya nchi.Mara moja 1966. Nusu fainali kibao za Euro na kombe la dunia
Hao uliowataja hawajawai kua na manufaa kwenye club wanayochezea au umezaliwa sasa hivi?.Simba iliyoshiriki michuano ya kimataifa misim michache nyuma ilitokana namchango mkubwa wa wachezaji wakigenivwakiwepo hao uliowataja kwa kejeli.Ata yanga sasa hivi imefanya bizuri kwenye ligi kwasababu ya ushindani mkubwa ulionyeshwa na wachezaji wakigeni.Tunachotakiwa kudanya ni kuambia wachezaji wetu wazawa wakuze viwango vyao ili nawao wakatafute fursa uko nchi za watu badala yakukaa nakuchukua wengine wanaokuja kutafuta fursa kwetu.Wachezaji wenyewe
Mugalu
Kagere
Banda
Wawa
Bora washushe waruhusiwe mwisho kusajili wachezaji 10 ila wanaoruhusiwa kucheza ni 7
Sent using Jamii Forums mobile app
ndivyo ilivyo mkuuWachezaji wa kigeni wanaopaswa kusajiliwa ni 12 (kumi na wawili), katika michezo ya Ligi kuu NBC PL wachezaji wa kigeni wanao ruhusiwa kuhusika katika mchezo 1(mmoja) ni wachezaji 8 (wanane) tu.
Nimejitahidi kwa uelewa wangu.