HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Habarini,
Sheria za Tanzania haziruhusu kukamata mali za serikali na Taasisi za Umma za serikali za Tanzania katika utekelezaji wa hukumu pale inapodaiwa na kushindwa kesi za madai kitu ambacho kinawanyima haki wananchi wengi wanaoidai.
Kwa maana hiyo sheria hizo zimepitwa na wakati kwani viongozi wengi hawalipi madeni kwa kiburi tu kitu wakijua hawatafanywa lolite.
Tunaomba TLS chini ya ungozi mpya ulioimara msaidie katika kupinga sheria hizi kandamizi.