fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Ilikwama, seems kuna opposing side upande mmoja unaona sawa mwingine hautaki hilo jamboNaomba kuuliza iwapo sheria ya kuwapa hadhi maalumu,watanzania waliochukua uraia nchi za nje.Nauliza maana baadhi ya ndugu zangu wali hukua uraia wa canada,uingereza na ujerumani,sasa wanataka kuja kuwekeza.Nitashukuru nikipata malezo ya kina
oh asanteIlikwama, seems kuna opposing side upande mmoja unaona sawa mwingine hautaki hilo jambo
Hiihadhi maalum maana yake ni special treatment au diplomatic status?Naomba kuuliza iwapo sheria ya kuwapa hadhi maalumu,watanzania waliochukua uraia nchi za nje.Nauliza maana baadhi ya ndugu zangu wali hukua uraia wa canada,uingereza na ujerumani,sasa wanataka kuja kuwekeza.Nitashukuru nikipata malezo ya kina
It's just a matter of time uraia pacha utakubaliwa, katika nchi zote za east africa ni Bongo Kauntre pekee ndio wameifanya issue na kama sote tujuavyo hili taifa liko slow kwenye kila jambo.