00m New Member Joined Apr 28, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Jan 2, 2024 #1 UVUTAJI SIGARA. Ivi ile sheria ya kuzuia uvutaji sigara iliishia wapi. Maana Leo Stend nzima kahama ilikuwa inanuka sigara. Imefikia mahali watu wanavuta hadharani ata kwenye sehemu watu wanakusanyika.
UVUTAJI SIGARA. Ivi ile sheria ya kuzuia uvutaji sigara iliishia wapi. Maana Leo Stend nzima kahama ilikuwa inanuka sigara. Imefikia mahali watu wanavuta hadharani ata kwenye sehemu watu wanakusanyika.