Sheria ya makosa ya jinai

mudysquare

Member
Joined
May 6, 2012
Posts
82
Reaction score
12
Naombeni msaada wenu wadau sielewi miaka ya mfungwa katika kifungo chake kama ni miaka 20 vipi inahesabiwa usiku na mchana kwahiyo atatumikia kwa miaka 10 msaada tafadhali
 
Hakuna hesabu za kifungo cha usiku na mchana ila jeshi la magereza limepewa mamlaka ya kupunguza adhabu kwa mhalifu aliyehukumiwa kifungo kwa 1/3 ya kifungo chake ila haki hii hawastahili wafungwa wa kunyongwa,viboko na wa maisha
 
"law is reference", ndugu unaweza tusaidia provision/kifungu kipi na cha sheria ipi kinacho provide hivyo"
 
soma prison standing order ndipo utayajua hayo ila ukweli ni huo kuwa jeshi hilo limepewa mamlaka ya kupunguza 1/3 ya adhabu ya mfungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…