mudysquare
Member
- May 6, 2012
- 82
- 12
Naombeni msaada wenu wadau sielewi miaka ya mfungwa katika kifungo chake kama ni miaka 20 vipi inahesabiwa usiku na mchana kwahiyo atatumikia kwa miaka 10 msaada tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni msaada wenu wadau sielewi miaka ya mfungwa katika kifungo chake kama ni miaka 20 vipi inahesabiwa usiku na mchana kwahiyo atatumikia kwa miaka 10 msaada tafadhali
Hakuna hesabu za kifungo cha usiku na mchana ila jeshi la magereza limepewa mamlaka ya kupunguza adhabu kwa mhalifu aliyehukumiwa kifungo kwa 1/3 ya kifungo chake ila haki hii hawastahili wafungwa wa kunyongwa,viboko na wa maisha