Mimi pia huwa najiuliza,kwa mfano nimemkuta mwanaume ana mtoto nje ya ndoa,ila mali kaanza kuchuma na mimi nimechangia,ikitokea mme katangulia mbele ya haki,ina maana mtoto niliyemkuta ana haki ya kurithi na wanangu niliowazaa na baba yake ndani ya ndoa?