Sheria ya mirathi inasemaje kuhusu watoto wa nje ya ndoa?

Sheria ya mirathi inasemaje kuhusu watoto wa nje ya ndoa?

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
992
Reaction score
472
Ndugu wadau naombeni mnisaidie kuhusu sheria inavyosema kuhusu watoto wa nje ya ndoa aliowazaa mwanaume. Je watoto hao wa nje nao wanayo haki ya kurithi?
 
Mimi pia huwa najiuliza,kwa mfano nimemkuta mwanaume ana mtoto nje ya ndoa,ila mali kaanza kuchuma na mimi nimechangia,ikitokea mme katangulia mbele ya haki,ina maana mtoto niliyemkuta ana haki ya kurithi na wanangu niliowazaa na baba yake ndani ya ndoa?
 
Kwa sasa mambo ya mtoto yote yamejumuishwa katika sheria moja ya mtoto, na hiyo sheria imefuta kitu hapo mwanza kilijulikana kama mtoto haramu. Hivyo watoto wote wana haki ndani ya ndoa awe wa kufikia au la
 
Back
Top Bottom